Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kuponda Kichwa cha Nyoka
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Basi, kumbuka hayawani-mwitu rangi-nyekundu-nyangavu, mwenye vichwa saba ambaye “alikuwako, lakini hayuko, na bado yu karibu kupanda nje ya abiso.” (Ufunuo 17:8, NW) Alipokuwa katika abiso, ‘alikuwa hayuko.’ Alikuwa hatendi, hajongei, kwa madhumuni na makusudi yote alikuwa amekufa. Hali kadhalika, mtume Paulo akinena juu ya Yesu, alisema: “‘Ni nani atakayeshuka kuingia ndani ya abiso?’ yaani, kumleta juu Kristo kutoka kwa wafu.” (Warumi 10:7, NW) Akiwa katika abiso hiyo, Yesu alikuwa amekufa.a

  • Kuponda Kichwa cha Nyoka
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • a Maandiko mengine husema kwamba Yesu alikuwa katika Hadesi alipokuwa mfu. (Matendo 2:31, NW) Hata hivyo, haitupasi kukata maneno kwamba Hadesi na abiso sikuzote ni kitu kile kile. Ingawa hayawani-mwitu na Shetani huenda ndani ya abiso, ni wanadamu pekee ndio husemwa kuwa wanaenda kwenye Hadesi, wanamokuwa wamelala katika kifo mpaka ufufuo wao.—Ayubu 14:13; Ufunuo 20:13, NW.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki