-
Kuhuisha Mashahidi WawiliUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na wakati wao wamekwisha kumaliza kushuhudu kwao, hayawani-mwitu ambaye hupanda kutoka katika abiso atafanya vita na wao na kushinda wao na kuua wao.
-
-
Kuhuisha Mashahidi WawiliUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
20. Ni nini “hayawani-mwitu ambaye hupanda kutoka katika abiso”?
20 Hili ndilo la kwanza la marejezo 37 katika Ufunuo kwa hayawani-mwitu. Wakati uwadiapo tutachunguza huyu na hayawani wengine kwa ukamili. Kwa sasa yatosha kusema kwamba “hayawani-mwitu ambaye hupanda kutoka katika abiso” ni ubuni wa Shetani, mfumo wa mambo wa kisiasa ulio hai.b—Linga Ufunuo 13:1; Danieli 7:2, 3, 17.
-
-
Kuhuisha Mashahidi WawiliUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
b “Abiso” (Kigiriki, aʹbys·sos; Kiebrania, tehohmʹ) hurejezea kimfano mahali pa kutotenda. (Ona Ufunuo 9:2.) Hata hivyo, katika maana halisi, inaweza pia kurejezea bahari kubwa mno. Mara nyingi neno la Kiebrania hutafsiriwa “kilindi cha maji.” (Zaburi 71:20; 106:9; Yona 2:5, NW) Hivyo, “hayawani-mwitu ambaye hupanda kutoka katika abiso” anaweza kutambulishwa na ‘hayawani-mwitu anayepanda kutoka katika bahari.’—Ufunuo 11:7; 13:1, NW.
-