Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Dumisha Mtazamo wa Kuwa na Shukrani
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Novemba 1
    • Fikiria mambo ambayo wengine wamefanya ili kukusaidia, na uwashukuru kwa jitihada zao. Yesu aliweka kielelezo kizuri sana katika jambo hilo. Kwa mfano, wakati rafiki yake Maria alipommiminia kichwani na miguuni mafuta ya bei ya juu, watu fulani waliuliza: “Kwa nini hasara hii ya mafuta yenye marashi?”a Walalamikaji hao walihisi kwamba mafuta hayo yalipaswa kuuzwa, kisha maskini wapewe pesa hizo. Yesu aliwajibu hivi: “Mwacheni. Kwa nini mnataka kumsumbua?” Kisha akaongeza: “Amenifanyia tendo zuri.” (Marko 14:3-8; Yohana 12:3) Badala ya kukazia kile ambacho Maria hakufanya, Yesu alishukuru kwa kile alichofanya.

  • Dumisha Mtazamo wa Kuwa na Shukrani
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Novemba 1
    • a Katika karne ya kwanza, kumimina mafuta juu ya kichwa cha mgeni ilikuwa ishara ya kumkaribisha; kummiminia mafuta miguuni ilikuwa ishara ya unyenyekevu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki