Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kazi za Yehova—Kubwa na za Ajabu
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na mimi nikaona kilichoonekana kuwa kama bahari ya kioo yenye kutangamana na moto, na wale ambao hutoka wakiwa washindi wa hayawani-mwitu na mfano wake na nambari ya jina lake wakisimama karibu ya bahari ya kioo, wakiwa na vinubi vya Mungu.”—Ufunuo 15:2, NW.

  • Kazi za Yehova—Kubwa na za Ajabu
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Waimbaji ambao Yohana huona “hutoka wakiwa washindi wa hayawani-mwitu na mfano wake na nambari ya jina lake.” Kwa hiyo lazima wao wawe wa wale 144,000 wanaoishi duniani wakati wa siku za mwisho. Wakiwa kikundi, kweli kweli wao hutoka wakiwa washindi. Kwa karibu miaka 90 tangu 1919, wao wamekataa kukubali alama ya hayawani-mwitu au kutegemea mfano wake kuwa tumaini pekee la binadamu kwa ajili ya amani. Wengi wao tayari wamevumilia kwa uaminifu mpaka kifo, na hawa, sasa wakiwa katika mbingu, pasipo shaka wanafuata kwa upendezi wa pekee wimbaji wa ndugu zao ambao wangali dunani.—Ufunuo 14:11-13.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki