-
Usitawi wa Muundo wa TengenezoMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Sanduku/Picha katika ukurasa wa 208, 209]
Vifaa Vilivyotumiwa na Sosaiti Karne Moja Iliyopita Katika Eneo la Pittsburgh
Bible House, inayoonyeshwa hapa, ilitumika kuwa makao makuu kwa miaka 19, kutoka 1890 hadi 1909f
Ndugu Russell alifanyia funzo lake hapa
Washiriki wa familia ya Bible House ambao walitumikia hapa katika 1902
Jengo hilo lilitia ndani idara hii ya kupanga herufi za chapa na kupanga maandishi (kulia juu), idara ya usafirishaji (kulia chini), uhifadhi wa fasihi, makao kwa ajili ya wafanyakazi, na mahali pa ibada (jumba la kusanyiko) ambapo pangetoshea watu kama 300
-
-
Usitawi wa Muundo wa TengenezoMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Nafasi zaidi ilipohitajiwa, katika 1889, Ndugu Russell alijenga Bible House, ionyeshwayo upande wa kushoto, kwenye 56-60 Arch Street, Allegheny. (Baadaye hiyo ilipewa nambari mpya 610-614 Arch Street.)
-