-
Hatua Muhimu Katika Kutokeza Biblia za Lugha za KiafrikaMnara wa Mlinzi—2007 | Januari 15
-
-
Mnamo 1857, Watswana walikuwa wa kwanza kupata Biblia nzima iliyotafsiriwa katika mojawapo ya lugha za Kiafrika ambazo mwanzoni hazikuwa na utaratibu wa kuandika.a Tafsiri hiyo yenye mabuku kadhaa, ilichapishwa na kutiwa jalada.
-
-
Hatua Muhimu Katika Kutokeza Biblia za Lugha za KiafrikaMnara wa Mlinzi—2007 | Januari 15
-
-
[Picha katika ukurasa wa 12]
Jina la Mungu katika Biblia ya Kitswana iliyochapishwa mwaka wa 1840
[Hisani]
Harold Strange Library of African Studies
-