Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nchi Ambazo Zilikuwa Sehemu ya Yugoslavia
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Jiji la Sarajevo lilipozingirwa, Ljiljana Ninković na mume wake Nenad walinaswa jijini na kutenganishwa na binti zao wawili. Ljiljana anasema: “Tulikuwa familia ya kawaida yenye watoto wawili, nasi tulikuwa na nyumba na gari. Halafu kwa ghafula, mambo yakabadilika kabisa.”

      Lakini mara nyingi waliona mkono wa Yehova ukiwalinda. Ljiljana anaendelea kusimulia: “Nyumba yetu ililipuliwa kwa bomu mara mbili baada tu ya sisi kuondoka. Ingawa tulipata matatizo, tulifurahia mambo madogo-madogo. Kwa mfano, tulifurahia kwenda kwenye bustani kuchuna majani fulani (ya dandelion) ili kutengeneza saladi, hivyo hatukula wali mkavu. Tulijifunza kutosheka na vitu tulivyokuwa navyo na kutochezea kitu chochote.”

  • Nchi Ambazo Zilikuwa Sehemu ya Yugoslavia
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 197]

      Ljiljana akiwa na binti zake

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki