-
Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
-
-
Majengo ya ofisi ya tawi na Majumba ya Ufalme yalichukuliwa, na ofisi ya tawi ikafungwa. Kwa kipindi kifupi, ofisi ya tawi ya Ufaransa ilisimamia kazi ya kuhubiri, lakini baadaye ofisi ya tawi ya Kinshasa ilikabidhiwa daraka hilo.
-
-
Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
-
-
[Picha katika ukurasa wa 153]
Jengo hili lilitumiwa kama ofisi ya tawi kuanzia 1967 hadi 1977
-