-
Rumania2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
1920: Ofisi ya tawi yafunguliwa huko Cluj-Napoca. Ofisi hiyo yasimamia kazi nchini Albania, Bulgaria, Hungaria, Rumania, na nchi iliyoitwa Yugoslavia.
1924: Kiwanda cha uchapaji na majengo kwa ajili ya ofisi ya tawi yanunuliwa huko Cluj-Napoca.
1929: Kazi yasimamiwa na ofisi ya tawi ya Ujerumani na baadaye na Ofisi ya Tawi ya Ulaya ya Kati huko Uswisi.
1938: Serikali yafunga kabisa ofisi ya tawi ya Rumania, huko Bucharest.
-
-
Rumania2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
1949: Serikali ya kikomunisti yawapiga marufuku Mashahidi wa Yehova na kutwaa mali zote za ofisi ya tawi.
-
-
Rumania2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
1995: Ofisi ya tawi ya Rumania yafunguliwa upya huko Bucharest.
-