-
Matukio Muhimu ya mwaka uliopita2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Slovenia
Mnamo Jumamosi, Agosti 12, Ndugu Jaracz alitoa hotuba ya kuweka wakfu ofisi mpya ya tawi huko Kamnik, mji ulio umbali wa kilomita 20 kaskazini ya mji mkuu Ljubljana, na umbali wa kilomita 130 magharibi ya Zagreb, Kroatia. Kabla ya hapo Wanabetheli walikuwa wakiishi huku na huku katika mji mkuu, kwa hiyo, wanafurahi sana kukaa pamoja hatimaye! Wale wasikilizaji 144 walitoka nchi 20.
-
-
Matukio Muhimu ya mwaka uliopita2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Ofisi ya tawi ya Slovenia
-