-
Nchi Ambazo Zilikuwa Sehemu ya Yugoslavia2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
MATESO WAKATI WA VITA
Mnamo Aprili 6, 1941, jeshi la Ujerumani lilishambulia Yugoslavia. Ofisi ya tawi iliharibiwa na ndege za kivita zilizoshambulia sana Belgrade. Wanajeshi wa Ujerumani waliigawanya nchi ya Yugoslavia. Kwa muda fulani, vita vilikatiza mawasiliano kati ya ndugu wa Betheli ya Serbia na ndugu wa Slovenia, Kroatia, na Makedonia. Hali ilikuwa mbaya zaidi kwa ndugu waliokuwa upande wa kusini kabisa wa Makedonia, kwa kuwa hawangeweza tena kuwasiliana baada ya vita.
-
-
Nchi Ambazo Zilikuwa Sehemu ya Yugoslavia2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Ofisi ya Belgrade ilifungwa, na kazi ya kuwagawia akina ndugu chakula cha kiroho ilipangiwa Zagreb, Kroatia.
-