Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matukio Muhimu ya mwaka uliopita
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 28, 29]

      Ofisi za Tawi Zawekwa Wakfu

      Albania

      Marufuku ya miaka 50 juu ya kazi yetu iliondolewa mwaka wa 1992. Ndugu na dada 325 walihudhuria kuwekwa wakfu kwa ofisi mpya ya tawi iliyoko kwenye vitongoji vya Tiranë. Kati ya waliohudhuria kulikuwa na Mashahidi wanne wazee waliomtumikia Mungu katika miaka hiyo ya marufuku. Wageni kutoka nchi za kigeni 32 walikuwapo pia. Wamishonari walipofika mwaka wa 1992, kulikuwa na wahubiri tisa tu waliobatizwa nchini humo. Sasa kuna wahubiri 3,617 nchini Albania. Ndugu wa Baraza Linaloongoza Theodore Jaracz na Gerrit Lösch walikuwa na sehemu katika programu ya kuweka wakfu ofisi hiyo mnamo Juni 3, 2006. Siku iliyofuata, walitoa hotuba katika uwanja usio na paa, na wahudhuriaji 5,153 walisikiliza kwa makini licha ya mvua kubwa.

  • Matukio Muhimu ya mwaka uliopita
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Jengo la ofisi ya tawi nchini Albania

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki