-
Kazi za Yehova—Kubwa na za AjabuUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na mmoja wa viumbe hai wanne akawapa malaika saba mabakuli saba ya dhahabu yaliyokuwa yamejaa kasirani ya Mungu, ambaye huishi milele na milele.”—Ufunuo 15:5-7, NW.
-
-
Kazi za Yehova—Kubwa na za AjabuUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Mmoja wa viumbe hai wanne anawapa mabakuli yenyewe. Pasipo shaka, huyu alikuwa kiumbe hai wa kwanza, ambaye alishabihi simba, kufananisha ujasiri na ushujaa usiotishika unaohitajiwa ili kupiga mbiu ya hukumu za Yehova.—Ufunuo 4:7, NW.
-