Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Uwe Mfuasi Wangu”—Yesu Alimaanisha Nini Aliposema Maneno Hayo?
    ‘Njoo Uwe Mfuasi Wangu’
    • a Yesu hakumwambia kila mtu aliyemfuata aache mali zake zote. Na ingawa alisema ingekuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu, aliongeza hivi: “Mambo yote yanawezekana kwa Mungu.” (Marko 10:23, 27) Kwa kweli, baadhi ya wafuasi wa Kristo walikuwa matajiri. Walipata mashauri hususa katika kutaniko la Kikristo, lakini hawakuagizwa wawape maskini mali zao zote.—1 Timotheo 6:17.

  • “Uwe Mfuasi Wangu”—Yesu Alimaanisha Nini Aliposema Maneno Hayo?
    ‘Njoo Uwe Mfuasi Wangu’
    • Yesu alimwambia: “Nenda, ukauze vitu ulivyo navyo uwape maskini.” (Marko 10:21) Je, Yesu alimaanisha kwamba ni lazima mtu awe maskini ili amtumikie Mungu? Hapana.a

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki