Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Inawezekana Kuwapenda Adui Zako?
    Amkeni!—2009 | Novemba
    • Kitabu Encyclopedia of Religion and War kinasema hivi: “Wafuasi wa mapema wa Yesu walikataa kupigana na kujiunga na utumishi wa kijeshi,” kwa kuwa walitambua kwamba mazoea hayo “hayakupatana na kanuni ya upendo ambayo Yesu alifundisha na agizo lake kwamba mtu anapaswa kuwapenda adui zake.”a

  • Je, Inawezekana Kuwapenda Adui Zako?
    Amkeni!—2009 | Novemba
    • a “Waandishi wote Wakristo walioishi kabla ya Konstantino [maliki wa Roma wa 306-337 W.K.] walipinga mauaji yaliyotokea vitani,” kinasema kitabu Encyclopedia of Religion and War. Mtazamo huo ulibadilika uasi-imani uliotabiriwa katika Biblia ulipoanza kuenea.—Matendo 20:29, 30; 1 Timotheo 4:1.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki