Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)
    2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
    • Augustin Bayonne—Yule Anayetembea—alihudhuria darasa la 37 la Gileadi mwaka wa 1962. Baada ya kuhitimu, alitumwa Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambako karibu miaka 15 awali alikuwa amesoma kitabu ‘Kweli Itawaweka Huru.’ Baada ya muda, Augustin alioa na kupata watoto. Alirudi Brazzaville, akakubali mikutano ya Kikristo ifanywe nyumbani kwake. Baadaye alitoa kiwanja kwa ajili ya Jumba la Ufalme ambalo lilijengwa baadaye.

      Augustin Bayonne na Timothée Miemounoua tayari wamekufa.

  • Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)
    2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
    • [Picha katika ukurasa wa 152]

      Augustin Bayonne, Yule Anayetembea, alihudhuria darasa la 37 la Gileadi mwaka wa 1962

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki