-
Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
-
-
Mpango wa Halmashauri ya Tawi ulipoanzishwa mwaka wa 1976, Baraza Linaloongoza liliwaweka ndugu watatu: Ndugu mwenyeji, Marcellin Ngolo, na mishonari, Jack Johansson
-
-
Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
-
-
Mishonari wote walifukuzwa nchini isipokuwa Jack na Linda Johansson. Jack anasema hivi kuhusu kipindi hicho: “Katika utumishi wetu wote wa mishonari, imani yetu haijawahi kujaribiwa na kuimarishwa kama katika hiyo miezi michache tuliyokuwa peke yetu katika ofisi ya tawi. Tulidhaniwa kuwa wapelelezi wa Shirika la Upelelezi la Marekani. Maadui wa serikali, kutia ndani viongozi wa dini walikamatwa na kuuawa. Kwa hiyo, tulijua kwamba tulikuwa hatarini. Hata hivyo, tuliona jinsi Yehova alivyotulinda na hilo liliimarisha imani yetu.”
Noé Mikouiza alimsihi waziri mkuu awaruhusu Jack na Linda wakae nchini. Ombi lake lilikataliwa; iliwabidi kuondoka.
-