-
Tudumishe Mahali Petu pa Ibada Katika Hali NzuriHuduma ya Ufalme—2003 | Agosti
-
-
Wakati ambapo makutaniko mawili au zaidi yanatumia jumba moja, mabaraza ya wazee huweka halmashauri ya udumishaji ili kufanya mipango ya kutunza jengo na uwanja. Halmashauri hiyo hufanya kazi chini ya mwelekezo wa mabaraza ya wazee.
-
-
Tudumishe Mahali Petu pa Ibada Katika Hali NzuriHuduma ya Ufalme—2003 | Agosti
-
-
Mahali ambapo makutaniko kadhaa hutumia Jumba moja la Ufalme, halmashauri ya udumishaji huwa na akaunti yake na hujulisha kila baraza la wazee ripoti ya hesabu ya kila mwezi iliyoandikwa, na hivyo kuwataarifu wazee jinsi pesa zinavyotumiwa.
-
-
Tudumishe Mahali Petu pa Ibada Katika Hali NzuriHuduma ya Ufalme—2003 | Agosti
-
-
Marekebisho: Halmashauri ya udumishaji inapoona kwamba jambo fulani kubwa lahitajiwa kuhusiana na shughuli au udumishaji wa Jumba la Ufalme, halmashauri hiyo huomba mwelekezo wa mabaraza ya wazee.
-