Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hali Ifaayo Ukuzi Katika Guinea ya Ikweta
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Oktoba 15
    • Hata hivyo, mara baada ya uhuru kutolewa kwa Guinea ya Ikweta katika 1968, wenzi wa ndoa watatu wamishonari wa Watchtower walipewa mgawo hapa. Hawakuweza kukaa muda mrefu kwa sababu ya magumu ya kisiasa lakini ushahidi wao ulitokeza matokeo mazuri.

  • Hali Ifaayo Ukuzi Katika Guinea ya Ikweta
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Oktoba 15
    • Baadaye, wenzi wa ndoa kadhaa wamishonari Wahispania walikuja kusaidia. Andrés Botella ambaye ametumikia Guinea ya Ikweta kwa miaka 12, akumbuka kwamba mara baada ya kuwasili, alivutiwa na jinsi watu walivyokuwa “wenye kuona uhitaji wao wa kiroho” kwelikweli. (Mathayo 5:3, NW) “Imekuwa furaha ya kweli kujifunza Biblia pamoja na watu wenye uthamini hivyo,” yeye asema.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki