Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wakastrati—Ulemazo Katika Jina la Dini
    Amkeni!—1996 | Februari 8
    • Kwa hiyo, akichukua kihalisi maneno ya Yesu, “wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni,” yeye alijihasi. (Mathayo 19:12)a

  • Wakastrati—Ulemazo Katika Jina la Dini
    Amkeni!—1996 | Februari 8
    • a Kuhusu maneno ya Yesu, kielezi-chini cha Westminster Version of the Sacred Scriptures: The New Testament ya Katoliki ya Kiroma hutaarifu hivi: “Si kimwili kwa ulemazo wa viungo, bali kiroho kwa kusudi au nadhiri.” Vivyohivyo, A Commentary on the New Testament, kilichoandikwa na John Trapp, chaeleza hivi: “Haimaanishi kujihasi, kama Origen na wengine katika nyakati za kale, kwa kuelewa kimakosa maandishi haya . . . bali humaanisha kuishi wakiwa waseja, ili waweze kumtumikia Mungu wakiwa na uhuru zaidi.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki