Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Kweli Kulikuwa na Bustani ya Edeni?
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Januari 1
    • Je, kuna ugumu wowote kumuumba mwanamke kwa kutumia ubavu wa mwanamume?e Mungu angeweza kutumia njia nyingine, lakini mbinu hii aliyotumia kumuumba mwanamke ina umaana mkubwa. Alitaka mwanamume na mwanamke wawe na uhusiano wa karibu, kana kwamba wao ni “mwili mmoja.” (Mwanzo 2:24) Jinsi mwanamume na mwanamke wanavyokamilishana, wakifanyiza uhusiano thabiti ambao unawaimarisha wote wawili, ni uthibitisho ulio wazi kuwa kuna Muumba mwenye hekima na upendo.

  • Je, Kweli Kulikuwa na Bustani ya Edeni?
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Januari 1
    • e Jambo la kushangaza ni kwamba wanasayansi wa kisasa wa mambo ya kitiba wamegundua kwamba ubavu una uwezo usio wa kawaida wa kujirekebisha. Tofauti na mifupa mingine, ubavu una uwezo wa kukua tena ikiwa tishu inayouunganisha na uti wa mgongo haikukatwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki