Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yesu Awatuma Wanafunzi 70
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Machi 1
    • Mara nyingi, Mashahidi wa Yehova huonekana wakihubiri wawili-wawili. Je, mengi zaidi hayangetimizwa ikiwa kila mmoja wao angehubiri peke yake? Labda. Hata hivyo, Wakristo leo hutambua manufaa za kuhubiri sambamba na mwamini mwenzao. Hilo hutoa kadiri fulani ya kinga watoapo ushahidi katika maeneo hatari. Kuhubiri pamoja na mwenzi pia huwawezesha wapya zaidi kunufaika na ustadi wa wahubiri wa habari njema wenye uzoefu. Kwa kweli, wote wawili waweza kuchangia badilishano la kitia-moyo.—Mithali 27:17.

  • Yesu Awatuma Wanafunzi 70
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Machi 1
    • Kwa sababu hiyo, ili kuharakisha kazi ya kuhubiri na kuwaongezea mazoezi zaidi baadhi ya wafuasi wake, aliwachagua wanafunzi 70 na “kuwatuma wawili-wawili kumtangulia kuingia katika kila jiji na mahali ambako yeye mwenyewe alikuwa akitaka kwenda.”—Luka 10:1.a

  • Yesu Awatuma Wanafunzi 70
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Machi 1
    • Lakini kwa nini aliwatuma “wawili-wawili”? Kwa wazi, ni ili kwamba wapate kutiana moyo walipokabili upinzani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki