-
Tukio Lisiloweza Kusahaulika Katika UfaransaMnara wa Mlinzi—1998 | Julai 1
-
-
Ujapokuwa uchovu na kutostarehe, wajumbe walisikiliza kwa makini ripoti kutoka katika nchi nyingine na hotuba zilizotolewa na Lloyd Barry na Daniel Sydlik, ambaye pia ni mshiriki wa Baraza Linaloongoza.
-
-
Tukio Lisiloweza Kusahaulika Katika UfaransaMnara wa Mlinzi—1998 | Julai 1
-
-
Hotuba ya Ndugu Sydlik ilikuwa na kichwa “Wenye Furaha Ni Watu Ambao Mungu Wao Ni Yehova!” Hotuba zote mbili zilitolewa wakati barabara kwa sababu ya upinzani ambao Mashahidi wa Yehova wanakabili sasa hivi Ufaransa. Ndugu Sydlik alionyesha kwamba furaha ya kweli haitegemei mambo ya nje bali hutegemea uhusiano wetu na Yehova na mtazamo wetu kuelekea uhai. Swali alilouliza wasikilizaji, “Je, mna furaha?” lilijibiwa kwa makofi yaliyopigwa kwa mshindo.
-