-
Kazi za Yehova—Kubwa na za AjabuUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
na malaika saba wakiwa na tauni saba waliibuka kutoka patakatifu, wakiwa wamevaa kitani safi, nyangavu na wamefunga kifuani mishipi ya dhahabu.
-
-
Kazi za Yehova—Kubwa na za AjabuUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Pia, huvaa mishipi ya dhahabu. Kwa kawaida mishipi inatumiwa wakati mtu anapojifunga mwenyewe kwa ajili ya kazi inayopasa kutimizwa. (Walawi 8:7, 13; 1 Samweli 2:18; Luka 12:37; Yohana 13:4, 5) Kwa hiyo malaika wamejifunga mishipi kwa ajili ya kutimiza mgawo. Zaidi ya hayo, mishipi yao ni ya dhahabu. Katika tabenakulo ya kale, dhahabu ilitumiwa kuwakilisha vitu vya kimungu, vya kimbingu. (Waebrania 9:4, 11, 12) Hiyo inamaanisha kwamba malaika hawa wana utume wa utumishi wa kimungu, wenye thamani sana kuufanya.
-