Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Umati Mkubwa Ukamkaribia”
    ‘Njoo Uwe Mfuasi Wangu’
    • Kwa karne nyingi, wataalamu fulani walijaribu kugeuza madini ya risasi yawe dhahabu. Hawakufanikiwa hata ingawa risasi na dhahabu ni madini yanayofanana sana.a

  • “Umati Mkubwa Ukamkaribia”
    ‘Njoo Uwe Mfuasi Wangu’
    • a Wanafunzi wa kemia wanajua kwamba madini ya risasi na dhahabu yanakaribiana sana katika jedwali la elementi. Kiini cha atomu ya risasi kina protoni tatu zaidi kuliko zile za dhahabu. Wanafizikia wa siku hizi hata wamefaulu kugeuza kiasi kidogo cha madini ya risasi kuwa dhahabu, lakini inagharimu sana kufanya hivyo, kwa kuwa nishati nyingi sana inahitajiwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki