Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • John Foxe—Aliishi Nyakati Zenye Msukosuko
    Amkeni!—2011 | Novemba
    • Mwaka huohuo, Elizabeth alirudisha ile Mamlaka Kuu,b iliyomfanya awe Gavana Mkuu wa Kanisa.

  • John Foxe—Aliishi Nyakati Zenye Msukosuko
    Amkeni!—2011 | Novemba
    • b Kitabu The Leading Facts of English History, cha D. H. Montgomery, kinasema kwamba mnamo 1534, Bunge lilipitisha ile Mamlaka Kuu, “iliyomtawaza Henry bila kupingwa kuwa kichwa pekee cha Kanisa, na yeyote aliyempinga angeshtakiwa kwa uhaini. Alipotia sahihi hati hiyo, Mfalme alipindua utamaduni wa miaka elfu moja, na Uingereza ikajisimamia ikiwa na Kanisa la Taifa lisilomtegemea Papa.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki