-
Guyana2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Akina dada walikuwa Margaret Dooknie, Ivy Hinds, Frances Jordan, Florence Thom,
-
-
Guyana2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Ivy Hinds (sasa anaitwa Wyatt) na Florence Thom (sasa anaitwa Brissett) walitumwa katika mji wa Bartica ulio kilometa 80 hivi kutoka pwani, karibu na Mto Essequibo. Watu hupita katika mji huo wanapoelekea barani ambako kuna migodi ya dhahabu na almasi. Kulikuwa na ndugu mmoja tu huko. John Ponting, ambaye wakati huo alikuwa mwangalizi wa ofisi ya tawi na wa mzunguko, anaandika: “Katika muda wa miezi miwili, watu 20 walikuwa wakihudhuria mikutano, na 50 walihudhuria Ukumbusho.”
-