Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Sheria ya Bwana Ni Kamilifu”
    Mkaribie Yehova
    • Sheria iliwasaidia watu wa Mungu kutofautisha vitu safi na visivyo safi, ilitaja vitu 70 hivi ambavyo vingemfanya Mwisraeli awe najisi. Sheria hizo zilihusu usafi wa mwili, chakula, na hata kufunika kinyesi. Sheria hizo zililinda kabisa afya yao.a

  • “Sheria ya Bwana Ni Kamilifu”
    Mkaribie Yehova
    • a Kwa mfano, sheria zilizoamuru kinyesi cha mwanadamu kifunikwe, wagonjwa watengwe, na mtu yeyote anayegusa maiti aoge, zilikuwapo muda mrefu kabla ya manufaa yake kutambuliwa.—Mambo ya Walawi 13:4-8; Hesabu 19:11-13, 17-19; Kumbukumbu la Torati 23:13, 14.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki