-
Guyana2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Hotuba ambazo Nathan Knorr na mwandishi wake, Milton Henschel, walitoa kwenye ukumbi wa sinema wa mji wa Georgetown mapema mwaka wa 1954, zilionyesha kwamba kungekuwa na ongezeko. John Ponting alikuwapo naye anasema hivi: “Watu 1,400 waliketi ndani, nao wengine 700 wakasikiliza wakiwa nje hadi mvua kubwa ilipowalazimisha wengi wao kuingia ndani. Hotuba hizo zilitangazwa na waendesha baiskeli waliobeba mabango. Jioni, tulitumia ubao wenye mwangaza uliovutwa na punda, na ndugu alitoa matangazo kupitia kikuza-sauti.”
-
-
Guyana2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 152]
Nathan Knorr, Ruth Miller, Milton Henschel, Alice Tracy (aliitwa Miller kabla ya kuolewa), na Daisy na John Hemmaway
-