-
Maswali Kutoka kwa WasomajiMnara wa Mlinzi—1997 | Juni 15
-
-
Hata hivyo, tukiwa Mashahidi wa Yehova twapaswa kujaribu kujipatanisha na mawazo ya Mungu juu ya adhabu ya kifo, huku tukibaki katika hali ya kutokuwamo kwa habari ya misimamo ya kisiasa ambayo wengi huchukua katika suala hili.
-
-
Maswali Kutoka kwa WasomajiMnara wa Mlinzi—1997 | Juni 15
-
-
Lakini inapohusu swali lenye kuzusha ubishi la kama serikali yoyote ya ulimwengu huu yapaswa kuzoea haki yayo ya kuua wauaji-kimakusudi, Wakristo wa kweli hubaki kwa uangalifu katika hali ya kutokuwamo. Tofauti na makasisi wa Jumuiya ya Wakristo, wao hujiondosha katika mjadala wowote unaohusu habari hii.
-