Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutumikia Katika “Siku za Mwisho”
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
    • 15 Ofisa mmoja wa makao ya mfalme alipomsomea Yehoyakimu kitabu hicho, mfalme alikirarua-rarua na kukiteketeza. Kisha akaagiza Yeremia na Baruku waletwe mbele yake. “Lakini Yehova akaendelea kuwaficha.” (Soma Yeremia 36:21-26.) Kwa sababu ya maoni mabaya sana ya Yehoyakimu, Yehova alimtumia nabii wake kutangaza kwamba mfalme huyo “atazikwa kwa maziko ya punda-dume.” ‘Atakokotwa na kutupwa, nje ya malango ya Yerusalemu.’ (Yer. 22:13-19) Je, ndivyo ambavyo ingekuwa au Yeremia alikuwa akitilia chumvi?

  • Kutumikia Katika “Siku za Mwisho”
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
    • Nebukadneza akaanza kutawala Yuda, naye Yehoyakimu akawa kibaraka wake. Hata hivyo, baada ya miaka mitatu, Yehoyakimu akaasi. (2 Fal. 24:1, 2) Kisha, Nebukadneza na jeshi lake wakavamia Yuda mwaka wa 618 K.W.K. na kuzingira Yerusalemu. Huo ulikuwa wakati mgumu sana, hata kwa Yeremia. Inaelekea Yehoyakimu aliuawa wakati huo.b

  • Kutumikia Katika “Siku za Mwisho”
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki