Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wale Watunga-Mashairi wa Zamani—Si Waimbaji Tu wa Nyimbo za Mapenzi
    Amkeni!—1998 | Februari 8
    • Walikuwa washairi-waimbaji ambao waliandika katika iliyokuwa lugha ya wenyeji sanifu zaidi kati ya lugha zote za Kiroma. Iliitwa langue d’oca—lugha ya kawaida iliyosemwa karibu Ufaransa kote kusini mwa Mto Loire na maeneo yanayopakana na Italia na Hispania.

  • Wale Watunga-Mashairi wa Zamani—Si Waimbaji Tu wa Nyimbo za Mapenzi
    Amkeni!—1998 | Februari 8
    • a Lugha ya Kilatini iliyorithiwa kutoka kwa lejioni za Waroma, iliyoitwa Kiroma, ilikuwa kufikia wakati huo imesitawi kuwa lugha mbili za kienyeji katika Ufaransa: Kusini mwa Ufaransa ilisema ile lugha langue d’oc (iliyojulikana pia kama Occitan, au Provençal), huku kaskazini mwa Ufaransa ikisema ile langue d’oïl, (namna ya awali ya Kifaransa ambayo nyakati nyingine huitwa Kifaransa cha Kale). Lugha hizi mbili zilitofautishwa, moja kutoka kwa nyingine, na neno walilotumia kusema ndiyo. Katika kusini lilikuwa oc (kutokana na Kilatini hoc); katika kaskazini, oïl (kutokana na Kilatini hoc ille), lililokuja kuwa oui katika Kifaransa cha kisasa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki