Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Latvia
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mmoja wa wasichana hao ni Dace Puncule. Anakumbuka hivi: “Kusali kwa Mungu na msaada wa akina ndugu ulitusaidia kuendelea kuwa waaminifu. Tulifukuzwa, lakini sijuti kamwe kwamba nilisimama imara kwa ajili ya kweli. Kusema kweli, Yehova amenitunza sana. Baada ya miezi kadhaa, nilipata kazi katika ofisi ya sheria, na uzoefu niliopata huko ulinisaidia baadaye Betheli, ambako nimetumika tangu 2001.”

  • Latvia
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 210]

      Dace Puncule alifukuzwa shuleni kwa kukataa kuimba nyimbo za kitaifa

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki