-
Latvia2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Mapinduzi yaliyotukia Mei 1934, yalifanya sheria za kijeshi zianze kutumiwa.
-
-
Latvia2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Mwaka wa 1939, Vita vya Pili vya Ulimwengu vilianza, na Juni 1940, jeshi la Urusi liliingia Latvia. Mwezi wa Agosti, Latvia ikawa jamhuri ya 15 ya Muungano wa Sovieti, nayo ikaitwa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Sovieti ya Latvia.
-