-
Latvia2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kati ya wale 20 waliohudhuria, 14 walishiriki kampeni ya kwanza ya utumishi wa shambani nchini humo.
-
-
Latvia2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Wahubiri wa Ufalme wapatao 40, 15 kati yao wakiwa wamebatizwa, walishiriki kazi ya kuhubiri mwaka wa 1928. Mwaka wa 1929, ofisi ilipohamishiwa Barabara ya Šarlotes, Riga, tisa wengine walibatizwa, na zaidi ya vitabu na vijitabu 90,000 viligawanywa shambani.
-