Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Latvia
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mwaka wa 1994, Peter na Jean Luters walifika kutoka Australia. Peter, ambaye alibatizwa 1954, alizaliwa Latvia lakini akalelewa Australia. Kwa kuhuzunisha, Jean, ambaye alipata marafiki haraka kwa sababu ya kuwa mwenye upendo na fadhili, alikufa 1999. Peter aliamua kukaa Latvia na sasa anatumika katika Halmashauri ya Tawi.

  • Latvia
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • MSAADA WA WAHITIMU WA GILEADI

      Wamishonari wa kwanza kuzoezwa Gileadi walifika mapema mwaka wa 1993. Wenzi wa ndoa kutoka Sweden, Anders na Agneta Berglund na Torgny na Lena Fridlund walipewa mgawo wa kutumika Jelgava, jiji lenye wakaaji zaidi ya 60,000 na wahubiri 28. Anders, ambaye sasa ni mshiriki wa Halmashauri ya Tawi, anasema: “Tulipofika, tulijiunga na akina ndugu katika utumishi wa shambani, na sikuzote tulikuwa na mengi ya kufanya katika huduma!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki