Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Latvia
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • MSAADA WA WAHITIMU WA GILEADI

      Wamishonari wa kwanza kuzoezwa Gileadi walifika mapema mwaka wa 1993. Wenzi wa ndoa kutoka Sweden, Anders na Agneta Berglund na Torgny na Lena Fridlund walipewa mgawo wa kutumika Jelgava, jiji lenye wakaaji zaidi ya 60,000 na wahubiri 28.

  • Latvia
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Torgny Fridlund anakumbuka hivi: “Baada ya kufundishwa lugha kwa miezi mitatu, tuliona kwamba tunaweza kuzungumza bila msaada. Tulichagua eneo ambalo halikuwa limehubiriwa tangu Vita vya Pili vya Ulimwengu, lakini hatukufanikiwa sana. Je, tulitumia mbinu zisizofaa? Baada ya kuzungumzia jambo hilo, tulijaribu mbinu nyingine, yaani, kusoma andiko kwenye kila mlango. Tangu wakati huo, tukaanzisha mafunzo kadhaa.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki