Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nchi Ambazo Zilikuwa Sehemu ya Yugoslavia
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Huko Slovenia, ndugu na dada zetu wengi waliteswa. Kwa mfano, Franc Drozg, fundi wa vifaa vya chuma mwenye umri wa miaka 38, alikataa kushiriki katika vita. Kwa hiyo, wanajeshi Wanazi walimuua huko Maribor mnamo Juni 8, 1942. Watu fulani walioshuhudia wanasema kwamba kabla hajapigwa risasi alivishwa shingoni ishara yenye maneno “Mimi si sehemu ya ulimwengu huu.” (Yoh. 17:14) Imani yake yenye nguvu inathibitishwa na barua aliyoandika dakika chache kabla ya kuuawa, alisema hivi: “Rafiki mpendwa! Rupert, leo nilihukumiwa kifo. Usiomboleze kwa ajili yangu. Ninakutumia salamu zangu za upendo pamoja na wote walio nyumbani. Tutaonana katika Ufalme wa Mungu.”

  • Nchi Ambazo Zilikuwa Sehemu ya Yugoslavia
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 168]

      Franc Drozg, na nakala ya barua yake

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki