-
Mungu Anataka Tufanye Nini?Mnara wa Mlinzi—1997 | Januari 15
-
-
Damu huwakilisha uhai. Kwa hiyo, damu ni takatifu pia machoni pa Mungu. (Mambo ya Walawi 17:14) Basi, si ajabu kwamba Mungu atazamia tuone uhai na damu jinsi anavyoviona.
-
-
Mungu Anataka Tufanye Nini?Mnara wa Mlinzi—1997 | Januari 15
-
-
Kwa sababu twamsikiliza Mungu asemapo ‘jiepusheni na damu,’ haturuhusu damu itiwe miilini mwetu. (Matendo 15:28, 29) Ingawa twapenda uhai, hatutajaribu kuokoa uhai wetu wa sasa kwa kuvunja sheria ya Mungu na hivyo kuhatarisha taraja letu la uhai udumuo milele!—Mathayo 16:25.
-