-
Nchi Ambazo Zilikuwa Sehemu ya Yugoslavia2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
WAVUKA KUINGIA MAKEDONIA
Alfred na Frida Tuček, ambao walikuwa mapainia, walieneza ujumbe wa Ufalme walipokuwa wakisafiri kutoka Slovenia kwenda Bulgaria. Katika mji wa Strumica, Makedonia, walimhubiria mwenye duka mmoja anayeitwa Dimitar Jovanovič, na kumwazima vitabu fulani. Mwezi mmoja baadaye, walipokuwa wakirudi kutoka Bulgaria, walimtembelea tena. Waliposikia kwamba hakusoma vitabu hivyo, walimwomba avirudishe ili wampe mtu mwingine ambaye angevithamini. Hilo lilimchochea Dimitar kuvisoma. Akawasihi wampe nafasi nyingine ya kusoma vitabu hivyo.
-
-
Nchi Ambazo Zilikuwa Sehemu ya Yugoslavia2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 157]
Alfred na Frida Tuček wakiwa na baiskeli zao
-