-
Adhimisheni Ukumbusho InavyostahiliMnara wa Mlinzi—1996 | Aprili 1
-
-
ILIKUWA jioni ya Nisani 14, 33 W.K., kwamba Yesu alianzisha Ukumbusho.a Alikuwa amemaliza tu kuadhimisha Sikukuu ya Kupitwa pamoja na mitume wake 12, kwa hiyo twaweza kuwa na uhakika kuhusu hiyo tarehe.
-
-
Adhimisheni Ukumbusho InavyostahiliMnara wa Mlinzi—1996 | Aprili 1
-
-
a Siku ya Kiyahudi ilianza jioni. Kulingana na kalenda yetu, hiyo Nisani 14 ilianza mwanzo wa Alhamisi jioni, Machi 31, hadi mshuko-jua wa Ijumaa jioni, Aprili 1. Ukumbusho huo ulianzishwa Alhamisi jioni, na kifo cha Yesu kikatokea Ijumaa alasiri ya siku iyo hiyo ya Kiyahudi. Alifufuliwa siku ya tatu, mapema Jumapili asubuhi.
-