-
Je, Umejitayarisha kwa Ajili ya Siku Muhimu Zaidi Katika Mwaka?Mnara wa Mlinzi—2011 | Februari 1
-
-
Kwa kutumia njia hiyo ya Biblia ya kuhesabu, Nisani 14 mwaka huu itaanza baada ya jua kutua siku ya Jumapili, Aprili 17, 2011.a
-
-
Je, Umejitayarisha kwa Ajili ya Siku Muhimu Zaidi Katika Mwaka?Mnara wa Mlinzi—2011 | Februari 1
-
-
Jioni ya Jumapili, Aprili 17, 2011, ni wakati ambapo tutakumbuka jioni ambayo Yesu alianzisha Ukumbusho huu wa pekee miaka 1,978 iliyopita. Pia, jioni hiyo itakuwa mwanzo wa siku ileile, yaani, Nisani 14, ambayo Yesu alikufa.
-