Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kupiga Mbiu ya Kurudi kwa Bwana
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Ilikuwa ile “Photo-Drama of Creation” (Drama-Picha ya Uumbaji)—muunganisho wa picha ya sinema na utoaji wa slaidipicha, ukiambatanishwa na muziki uliorekodiwa na hotuba zilizorekodiwa katika rekodi za santuri. Ilikuwa yenye urefu wa saa zapata nane na ilitolewa katika sehemu nne.

  • Kupiga Mbiu ya Kurudi kwa Bwana
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Katika Januari 1914, wakati wa enzi ya sinema zisizo na sauti,g wasikilizaji 5,000 walikusanyika katika The Temple, jengo moja kwenye West 63rd Street, katika New York City. Ilikuwa lazima kuzuia wengi zaidi wasiingie kwa kukosa nafasi. Ilikuwa pindi gani? Lo! wonyesho wa kwanza katika New York wa “Photo-Drama of Creation”!

  • Kupiga Mbiu ya Kurudi kwa Bwana
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • g Ijapokuwa kulikuwa na majaribio ya mapema ya kuunganisha picha ya sinema na sauti, enzi ya picha zenye maneno ilianza katika Agosti 1926 kwa kutolewa kwa picha ya kilimwengu Don Juan (yenye muziki lakini bila maneno), ikifuatwa na The Jazz Singer (ikiwa na maneno) katika vuli ya 1927.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki