-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na upande huu wa mto na upande ule kulikuwa na miti ya uhai ikifanyiza mazao kumi na mawili ya tunda, ikitoa matunda yayo kila mwezi. Na majani ya miti yalikuwa kwa ajili ya kuponeshwa kwa mataifa.” (Ufunuo 22:2b, NW)
-
-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Lakini sasa Paradiso ya tufe lote ipo hapa, na Yehova hata hufanya uandalizi kupitia majani ya miti hiyo ya ufananisho kwa ajili ya “kuponeshwa kwa mataifa.”c Ukiwa wa hali ya juu zaidi kuliko dawa yoyote, ya miti-shamba au nyingineyo, ambayo hutolewa leo, utumizi wenye kutuliza wa majani hayo ya ufananisho utainua aina ya binadamu yenye kuitikadi kwenye ukamilifu wa kiroho na kimwili.
-