-
‘Aliendelea Kukua Akiwa na Yehova’Mnara wa Mlinzi—2010 | Oktoba 1
-
-
Wazazi wake Elkana na Hana, walimweka wakfu kwa Yehova kwa ajili ya utumishi wa pekee na hivyo kumfanya kuwa Mnadhiri katika maisha yake yote.a
-
-
‘Aliendelea Kukua Akiwa na Yehova’Mnara wa Mlinzi—2010 | Oktoba 1
-
-
a Wanadhiri walikuwa chini ya nadhiri iliyowakataza kunywa vileo na kunyoa nywele zao. Wengi wao walikuwa Wanadhiri kwa muda fulani hususa, lakini wachache kati yao kama Samsoni, Samweli, na Yohana Mbatizaji, walikuwa Wanadhiri katika maisha yao yote.
-