Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hatua Muhimu kwa Wapendao Neno la Mungu
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Oktoba 15
    • Ni nani hasa aliyetafsiri Biblia hii yenye kutokeza? Gazeti la Mnara wa Mlinzi la Septemba 15, 1950 (la Kiingereza), lilisema: “Watu walio katika halmashauri ya tafsiri wameeleza tamaa yao . . . ya kubaki bila kujulikana, na hawataki hasa majina yao yatangazwe ama wakiwa hai au baada ya kufa. Kusudi la tafsiri hii ni kulikweza jina la Mungu wa kweli aliye hai.” Wachambuzi fulani walidai kwamba tafsiri hiyo yapaswa kukataliwa mara moja kwa kuwa ni kazi ya watu wasio na ustadi, lakini si watu wote waliokuwa na mtazamo kama huo usiopatana na akili. Alan S. Duthie aandika: “Tukijua ni nani waliotafsiri au kuchapisha tafsiri fulani ya Biblia, je, jambo hilo hutusaidia kuamua kama tafsiri hiyo ni nzuri au ni mbaya? Si moja kwa moja. Tunahitaji kuchunguza sifa za kila tafsiri yenyewe.”a

  • Hatua Muhimu kwa Wapendao Neno la Mungu
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Oktoba 15
    • a Kwa kupendeza, jalada la Chapa Yenye Marejezo ya New American Standard Bible, ya mwaka wa 1971, vilevile lilitaarifu hivi: “Hatukutumia jina la msomi yeyote ili arejezewe au atoe mapendekezo, kwa sababu twaamini kwamba Neno la Mungu lapaswa lidumu kwa sababu ya ustahili wake.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki