Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mtoto Aliyeitwa Maskini
    Amkeni!—1998 | Juni 8
    • Hali mbaya ya Acan si ya kipekee. Kati ya watu wanaokaribia bilioni 6 duniani, wapatao bilioni 1.3 hupata pesa zipunguazo dola 370 kwa mwaka. Wastani katika nchi tajiri ni dola 21,598. Kila siku, watu 67,000 zaidi hujiunga na umati wa maskini, karibu milioni 25 kila mwaka. Wengi huishi katika nchi zinazositawi—katika Afrika, Asia, na Amerika ya Latini. Lakini hata katika mataifa tajiri, kuna sehemu ndogo-ndogo zilizo na umaskini. Na watu 7 kati ya 10 miongoni mwa walio maskini zaidi ulimwenguni ni wa kike.

  • Mtoto Aliyeitwa Maskini
    Amkeni!—1998 | Juni 8
    • Lakini je, kiwango cha maisha hakiendelei kuboreka katika mataifa yanayositawi? Katika baadhi ya mataifa hayo, ndiyo. Katika mengine mengi, sivyo. Gazeti la ukuzi wa kibinadamu Choices hufafanua wazo la kwamba “pengo kati ya maskini na matajiri linapungua kwa sababu hali ya maskini inaboreka” kuwa ‘ngano hatari.’ Badala yake linataarifu: “Twaishi katika ulimwengu ambao kwa kweli umegawanyika kiuchumi, miongoni mwa nchi na ndani ya nchi hizo.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki