Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Pigano la Biblia ya Kifaransa la Kuokoka
    Amkeni!—1997 | Desemba 8
    • Kukiwa na ubuni wa matbaa za uchapaji na chapa zenye kusonga zilizobuniwa na Johannes Gutenberg wapata mwaka wa 1450, Ufaransa iliathiriwa vikali na badiliko kubwa la uchapaji katika Ulaya. Majiji matatu ya Ufaransa—Paris, Lyons, na Rouen—yakawa vitovu vya maana vya uchapaji, mategemezo katika kutetea Biblia.a

  • Pigano la Biblia ya Kifaransa la Kuokoka
    Amkeni!—1997 | Desemba 8
    • a Uchapaji wa Kifaransa ulikuwa wenye mafanikio sana hivi kwamba wakati Baraza la Kuhukumu Wazushi la Hispania lilipoagiza kukusanywa kwa habari za Biblia za kigeni katika mwaka wa 1552, baraza la mahakimu la Seville liliripoti kwamba asilimia 90 hivi ya zile zilizotwaliwa zilikuwa zimechapishwa Ufaransa!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki