Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Vitu vya Kuchukiwa na Mataifa Yote”
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Miezi tisa baada ya Rutherford na washiriki wake kuhukumiwa—na vita ikiwa imekwisha—Machi 21, 1919, mahakama ya rufani iliagiza washtakiwa wote wanane wapate dhamana, na Machi 26, waliachiliwa katika Brooklyn kwa dhamana ya dola 10,000 kila mmoja.

  • “Vitu vya Kuchukiwa na Mataifa Yote”
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Baada ya uamuzi huo, rufani ilikatwa mara hiyo kwa mahakama ya mzunguko ya rufani ya Marekani. Lakini Hakimu Howe alikataa kuwaachilia kwa dhamana wakisubiri kusikizwa kwa rufani hiyo,d na katika Julai 4, kabla ya rufani ya tatu iliyokuwa ya mwisho ya kupata dhamana kusikizwa, ndugu saba wa kwanza walihamishwa upesi wakapelekwa kwenye gereza la kitaifa la Atlanta, Georgia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki