Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tudumishe Mahali Petu pa Ibada Katika Hali Nzuri
    Huduma ya Ufalme—2003 | Agosti
    • 8 Ikiwa wazee wanahitaji shauri au msaada wa kudumisha Jumba la Ufalme, wanaweza kuwasiliana na Halmashauri ya Ujenzi ya Mkoa. Mashauri hayo yaweza kutia ndani mambo kama kurekebisha paa, kuta, sakafu, na kutatua matatizo ya unyevu katika jengo.

  • Tudumishe Mahali Petu pa Ibada Katika Hali Nzuri
    Huduma ya Ufalme—2003 | Agosti
    • Ikionekana kwamba kazi kubwa ya udumishaji au marekebisho itahitajiwa au kuna uhitaji wa msaada zaidi ya ule unaoweza kutolewa na makutaniko yanayotumia Jumba hilo la Ufalme, wazee watawasiliana na Halmashauri ya Ujenzi ya Mkoa. Ndugu hao wenye ujuzi na uzoefu hutoa madokezo na usimamizi mzuri katika kuongoza kazi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki